Aisee hapa option ya kudelete sina zaidi ya kuedit tu?Hahaha
Au tufanye hivi tuzifute zote unazo hisi hazijakaa swa uwe una niambia namba mi naingia nadelete
Kwa kweli sina cha kulalamika kuhusu NeyHuyo ndio wife material sasa, mwanamke hatakiwi kua mlopokaji sana
AiseeI miss Carba
Hahah msalimie sana aiseeKwa kweli sina cha kulalamika kuhusu Ney
Sinaaa bro [emoji1]
Basi andika kitu chochote fanya uzi uwe mkubwa hawata weza kupitia kila kituAisee hapa option ya kudelete sina zaidi ya kuedit tu?
HahahaHahah msalimie sana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio kilichobaki hichoBasi andika kitu chochote fanya uzi uwe mkubwa hawata weza kupitia kila kitu
Hakuna namna broAisee
SafiiHahaha
Ntamsalimia bro