Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

yaliwasaidia kujenga mapiramidi...
Yali-act kama falsafa jumuishi wakati ule. Kwa sasa yameshapitwa na wakati...Hata Zeus (na genge lake) kule Roma na Ugriki ya kale alifanya kazi hiyo hiyo lakini leo ametelekezwa amebakia kumbukoni tu. 24/7 kuyaabudu mpaka leo mhhh...

Kila jambo na wakati wake jirani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
yalikua na NGUVU(ya kishetani) na watawala walikua wanayafanyia matambiko.yaliwasaidia. sasa hayafanyiwi tena makafara ndio maana yamesusa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…