Hivi we upoje wewe????
Sura hii imeniganda akilini. Kuna kitu kinaniaminisha kabisa kuwa eti haka ndiyo karolo modo kangu. Can't shake this feeling [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 780710
Wa kishua. Kwema bro?Hivi we upoje wewe????
Nimefanyaje? [emoji15]Hivi we upoje wewe????
Wakati wa kuanza kumumunya bado?Likes za jioni zinaendelea
Ndoto ni udhihirisho kwamba ningali hai ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Duh acha kuota bana
Bado jirani...mpaka baada ya chakula cha usiku..Wakati wa kuanza kumumunya bado?