carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umeniambia una lala
Haya gud nyt Carba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] nitake radhi braza
Mwambie namsalimia sana[emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] aya ulale sasa ila SYB anakuja sasa hivi nasikia harufu yake
Sante[emoji120][emoji120]My Carba[emoji1]
Sleep well
Hahah aya kula mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You Fool!!
Mwanangu ngoja nile njaa inauma tena
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Khaaaa!!!
Umeamka kupika futari?Shem unawinda nini nikusaidie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sawa sawa bestMwambie namsalimia sana[emoji4][emoji4]
[emoji4]Sante[emoji120][emoji120]
Ukeshe salama
Ndio.nakula aseeHahah aya kula mzee
Lala hapo hapo kitini. Ukimwambia Iceman aje kukufunika hapo atakuja mbio balaa...Sungusungu wote,mkawe na usiku mwema[emoji42][emoji42][emoji42]
View attachment 780963
Umeamka kupika futari?
Siwindi cho chote. Nilitaka kusema tulio lindoni nikaishia kusema mawindoni...
Unapata njaa kizenbe sanaNdio.nakula asee
Ni shdaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lala hapo hapo kitini. Ukimwambia Iceman aje kukufunika hapo atakuja mbio balaa...
Ntaumwa shingo mie halafu hakuna wa kuntibia[emoji124][emoji124]Lala hapo hapo kitini. Ukimwambia Iceman aje kukufunika hapo atakuja mbio balaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapata njaa kizenbe sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I will i will
Nilijua tu neno futari halikuwa sawa. O'level nilikuwa bingwa wa kudandia daku mpaka ilibidi wanizoee tu akina Maalim Shaaban [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamka kula daku shem,futar haipikwi usiku yapikwa jion.
Hongera kwa kuwinda oooppss sorry kulinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you i will[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!!