Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Twende ukamfunike halafu niwe nimekusimamia ukileta za kuleta unakula kibano na mekelele ya mwizi mwizi juu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I will i will
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Twende ukamfunike halafu niwe nimekusimamia ukileta za kuleta unakula kibano na mekelele ya mwizi mwizi juu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilijua tu neno futari halikuwa sawa. O'level nilikuwa bingwa wa kudandia daku mpaka ilibidi wanizoee tu akina Maalim Shaaban [emoji23][emoji23][emoji23]
That's my big bratheeee,very protective[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Twende ukamfunike halafu niwe nimekusimamia ukileta za kuleta unakula kibano na mekelele ya mwizi mwizi juu [emoji16][emoji16][emoji16]
Utanisimulia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nataka niende peke angu tuuu
We ntakusimulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utanisimulia?
Kuna vinyoka karibu na mlango utaenda kuchemsha. Nina antidote za nyoka za kila aina. Utahitaji msaada wangu tu utake usitake...
Na safari yetu ya kwenda kwa Carba ndo imekufa ama?Jamani keshoooooouw
Carba kala daku ( ila daku hasa ni za watoto)Na safari yetu ya kwenda kwa Carba ndo imekufa ama?
Lala salama mkuu...
Haya bana we lala...Carba kala daku ( ila daku hasa ni za watoto)
Kashiba ngoja apumzike