Katiba ya asili kuhusu maisha ya wanawake watawa, ilichapishwa mwaka 1950 na Papa Pius wa 12, lakini Papa Francis katika toleo la mwaka 2016 ametahadharisha utamaduni wa digitali na namna unavyoathiri jamii.
Amewataka watawa wasifanye mitandao ya kijamii kuwa vitu vya kupotezea muda akisima kuwa Vatican yenyewe huandika sana kwa kutumia mtandao wa Twitter.
Imeweka karibu ujumbe 15,000 kwenye anuani yake mpya ya habari na kuweka zaidi ya mara 1,500 kupitia ukurasa maalumu wa Baba Mtakatifu.
Pia Vatican ina anuani za mtandao wa Facebook,Instagram,You Tube na Google+