Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
My sweetie sweetie baby jichanganye nikuvishe pete ya uchumbaAtakaenionea kichwa kichafu tafadhali anijulishe.
Good tuli ku miss janaNipo hapa leo ni super sonic speed
Umeona eeehKazi kweli kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Aisee vita ni kali kweli but winning is the only option I have gotWakati mwingine a spade is just a spade mkuu. Usimsikilize sana Cole. Ana msongo wa mawazo kwa sababu kuna vita vikali anapambana dhidi ya Mzee wa Ini. Tumhurumie tu kwa sababu hakuna namna!
Yupo,achana nae huyo atakuja kufanya fujo bureandjul ndugu yangu yupo
Haposa ndugu yanguUmeona eeeh
KiongoziMbioo
HahahahaYupo,achana nae huyo atakuja kufanya fujo bure
Sawa mkuuWakati mwingine a spade is just a spade mkuu. Usimsikilize sana Cole. Ana msongo wa mawazo kwa sababu kuna vita vikali anapambana dhidi ya Mzee wa Ini. Tumhurumie tu kwa sababu hakuna namna!
Kapita muda si mrefu hapa Mbagala, ni kama wametokea Mkuranga. Yupo na manjagu kwenye defender yao, nadhani wamempa lift.Atakaenionea kichwa kichafu tafadhali anijulishe.
Kuchungulia nini mkuu. Si ni maneno tu watu wanaandika hapa hadharani? Utani unanoga mtu ukimkumbusha alichokuwa anafanya. Subiri akija hapa uone atakavyo-react. Hata huyo mwenye paja naye si ajabu atajitetea. Tunacheka na unasonga mbele na kufurahia likes....Simba ya buyenze wewe Kiboko kwa kuchungulia
Mahabati sijui tuanze yepi ya kihindi, kikorea au kifilipinoUuuuuh wow,karibu sana. Nimefurah. Sasa tuko huru,yule nshampa talaka 10 hata salam hakuna.
Nikikuambia mkuu itabidi nikuue!!!Unalinda Vito au madini?
Habari mkuu...Kiongozi
Cc andjul, alisema wa nn na wakati wenzie walikuwa wanawaza watanipata lini hahahha yaan huku ni raha tuuuuuu, shida tupa kule kwa andjulMy sweetie sweetie baby jichanganye nikuvishe pete ya uchumba
Hahhahaha ya kihindi kwanzaMahabati sijui tuanze yepi ya kihindi, kikorea au kifilipino
Pokea salamu yang ya asubuhi iliyojaa kiss na likes zakutosha sukari ya moyoYupo,achana nae huyo atakuja kufanya fujo bure