Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wala la Polisi akivaa bila ruhusa ya Rais vazi rasmi la Jeshi lolote au linalofanana au kuwa na alama ya Kiaskari atakuwa ametenda kosa - Atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja jela au faini ya Tsh. Mia mbili

Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha

Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama

Damu yake na sadaka, nategemea daima
Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha.

Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga

Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…