Ngoja niisikilize mzee,,Kendrick hajawahi kukosea,, juzi kati kwenye billboard awards kachukua awards za kutosha sana km 7 au 8 hv,,,Moja ya ngoma yake za mwanzo kabisaa, niliisiliza kama 2012 hivi.
Bonge la kitu..: Nilivyosikiliza nikajua tuu huyuuuu!
AiseeeMistari yangu dawa inaponya wanaougua na inaponda wanaonichafua....
Kekuu - hood...
Daaah,
Naielewa sana, hiyo ngoma...Sam is a genius!Unaipata hii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona vile ndo ungekuwa ww,,, unatamani hata umng'ateAkae!!!!!! Hasira zitamuisha + kupoteza muda...Yaani papo kwa papo atachezea
Niko poaa asee, hapana siufahamu kaimba nani?Niko fresh kabisa ndugu yangu.....Hope uko vizuri.!
Unaujua huu wimbo ???