Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sana aisee,umecheki vipande vya parachichi, nyanya, embe,, huyu jamaa fundi haswa,,, kuna watu wanajua upande wa jikoni aisee tena unaweza kuta ni mwanaume huyu kaandaa hv
Hiyo siyo ngumu kabisa kutengeneza, cha muhimu uwe na Food Processor ili kukurahisishia kazi.
Na Vinaigrette Dressing ya maana ili kuongeza radha ya Salad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…