Kwa kweliPost chochote upate like
Jakitoo inabidi abadili ile Avatar yakeHapana watu wapo kwenye hang over za wikiend
Haya chukua tuMpenzi pumzika ngoja nichukue simu yako
Na wewe toa dada.Nimekuja tena wadau kuchukua "zangu"
Aisee huku full malike mambo ya parapanda wapi na wapiParapanda inalia parapandaaa
Pqmbana lov utafika mimi nitarudi mida hukoNipo kituo cha 3hrs hapa naja taratibu
Siasa tena? Unaonaje ukiipeleka hii kwenye jukwaa la siasa halafu uone vita vitakavyozuka kati ya mafisi na manyumbu? Huku ni stress na matusi free zone. TOA LIKES POKEA LIKES...Magufuli anajitahid sana kuinyoosha serikali hasa watumish wabovu naomba tumuunge mkono
Acha kukwepa kwepa mbona vita hii ilikuwa ya uwanja wa wazi, Bigbaba na SHIMBA YA BUYENZE ndio chanzo hata aliko enda hata dumu. Kuna paja lina kujaMimi sikulaumu Shemeji namlaumu mtu mmoja tu
Na huku speed balaaNiki 7hrs huku sijui nitafika sangap huko
Watu wana njaaMbona speed ya thread imepungua?
Mambo moto motoMambo sawa sawa
Umeona enh? Wanaosinzia hawatufai humu.Naona watu wanasinzia
Ha ha ha ha ha ha mimi nasubiri utumbo uchemke hapa ili nilie na chapati.Watu wana njaa