myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wacha wafu wazikane...Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 786005
kabisa mkuu" wanaijua biashara ya tasnia yaoJamaa uliowataja ndio maana hua wanaheshimika popote wanapotimba, utaona ataikiwa ni interview basi ata mapresenter huwa na heshima kwao....
Una mpango wa kumpa block mtu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kwako mod uliyerekebisha ignore/block option nimeku love bure...
Mtu unampa block na humuoni tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wuhuuuuu
safi sana""Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 786005
Una mpango wa kumpa block mtu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Poa kabisa mkuu, kwema??Kahoona Pyaar mambo.
Reginald nae naona kajivika kitanziAhadi ni deni utimize mwenye uzi huu
Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa miss sana wana JF
Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa miss sana wana JF
Listi? Unaruhusiwa kublock watu wangapi kabla listi haijajaa?Kabisaaaa,hiyo list hadi ijae[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Waongo hawa. Kuna mmoja alijitoa mhanga 2015 eti Lowasa asiposhinda urais basi afumuliwe marinda njemba zikaanza kumsaka baada ya uchaguzi akapotea mazima. Akaja kuibuka baadaye na ngonjera za Lowasa ni rais wa mioyo ya Watanzania... [emoji16][emoji16][emoji16]Ahadi ni deni utimize mwenye uzi huu
Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa miss sana wana JF
Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa miss sana wana JF
Kwema mkuu Vp weekend yako..Poa kabisa mkuu, kwema??