Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nooo!
We shouldnt feel sorry for her
Angekuwa ana boyfriend tu ningesema issokey because you are single till you are married na ninge mkemea msambazaji
Lakini for a married woman simuonei huruma that is a deserved impact of her sin
Na imagen huyo ni mzazi wangu
Lakin dado sijioni niki badilisha kauli sge deservs it. Katika makosa ambayo huwa siyaonei huruma duniani ni kosa la kutoka nje ya ndoa
I hate it so much.
Nimeona watu wanavo umizwa na hiyo ishu is not gud.
Siwezi kuwa sasa[emoji23] [emoji23]Aiseh!natamani wewe ndo unhekuwa huyo mama halafu sisi tuseme hayo uyasemayo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Una maanisha nini?
Am offended
[emoji23]