App nilikuw nimeioverload maana likes ninavyosambaza humu wewe tu utakuja kusemaSio kweli bwana
Ndio lengo la Uzi huuLikes muhimu zaidi kuliko kukimbiza thread!
Daaah hii sio Sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka nirudi kuwa msolid. Najiandikia vimaneno maneno vya kuniliwaza kama afanyavyo Cole Williams
MamboDaaah hii sio Sawa
Kwa kweliNdio lengo la Uzi huu
Unataka Kichwa aanze na kusifia mgongo hapa??waaaaaiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
You are beautiful.Haaa!kumbe nimeweka picha yangu nimepitiwa aisee nilijua nimebadili nyingine
Post chochote upate like toa like upate likesKweli. Kuikimbiza thread kuambatane na 'likes' za kutosha
We si Rais lazima uanze weweUtaratibu upi tena mkuu
Wamekunyima niniIla duniani kuna watu wachoyo jamani! Duuu!
Uzi wetu na SECRET STARUnachomeka huku unalike
Hapana mkuu kipenda rohoUna mke sasa. Hata ukiona upaja tatanishi au msambwanda fukufuku inakupasa umezee tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha shimba ya buyenze nashukuru kwa data zakoUtafiti wako ni wa TWAWEZA mkuu. Wanawake wenyewe humu hawazidi hata wanne. Huoni hata mijibaba inavyotoana ngeu?