[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dina utaiona chungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi si saint iceman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]am no angel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna mama hivo ni haram kwa Mungu pia siwez kuunga mkono dhambi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ntapelekwa na kwa mzee said kusimuliwa historia ya kariakoo
Itakuwa poa tuu
India ni moja ya nchi zenye nguvu katika kanda za huko Asia ya Kusini. Na moja wapo wa nchi zenye kukua uchumi kwa kasi duniani, India pamoja na Marekani ni mojawapo ya Kundi kubwa la Wauzaji wa Nyuklia. Aidha, India ni soko lenye kuvutia la makampuni ya kimataifa na ni zaidi ya taifa la pembeni ambalo linaagiza kutoka nchi nyingine lakini pia linafirisha kwa wengi. GDP yake ni $ 1.877 trilioni.
AaahKuna vya haram vingapi unafanya bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi si saint iceman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]am no angel
Kama nimeamua kula mahindi basi na nile mahindi, na kama maharage basi iwe vivyo hivyo...Makande siyaweziGood for you
Kwann Unafikiri huwezi changanya mahindi na maharagwe. ???
Wakati ukichanganya unapata makande!!
I hope soNa utakuwa umepata kitu kipya kwa siku hiyo
Japani ni nchi ya Asia ya Mashariki iliyo na visiwa vinne ambavyo hufunikwa zaidi na kuni na milima. Licha ya hili, idadi ya watu huishi maisha ya miji ya dhahiri. Japani ina uchumi wa tatu na ukubwa wa kimataifa na ulikuwa na mkubwa miaka ya 1900s katika maswara ya vita uliokoma mara baada ya kushidwa katika vita kuu zote za dunia. Leo, Japani ni nchi inayojulikana zaidi ya teknolojia na kisayansi duniani. Ina moja ya idadi ya watu wengi duniani. Pia inajulikana duniani kote kwa sanaa zake za jadi ; uchongaji, mashairi, usanifu na sanaa maarufu za kijeshi.