[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani si nimeuliza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi wewe na Cole leo mmekula nini mpaka mumuandame Carba hivo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa ww sometimes unakuwaga na akili sana
Ni swali tu lakini [emoji23][emoji23][emoji23]Heeee! [emoji23] [emoji23]
Yamekuwa hayo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha niondoke [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23], naona hatukuelewana na Sweetlee, naona ananitakia talaka kweupee kabisa
Si ndio mpaka aka amua kusambaza picha ili amkomeshe mama wasiendelee?Ulimuona wakati anaijutia??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mapenzi kikohozi ujue, usije fanya hisia zikanizidia nikabanja bureee,,, [emoji23]
Nikiandika hapa hutanielewa, maana tayari umeonesha kutokutaka kuelewa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuiaibisha dhambi siyo Dhambi Pyaar unakosea.
Dhambi ya kusambaza picha inaitwaje?
Umekuwaje lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea KUPAKA RANGI UPEPO
Mvute pembeni, nong'ona nae, naimani atakwambia kipi cha msibu...Love z crazyUmekuwaje lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]NimesahauHivi kwa lugha yenu mnaitaje?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitamuuliza baadae kwenye shukaMvute pembeni, nong'ona nae, naimani atakwambia kipi cha msibu...Love z crazy
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna akichanganya tuu huyo Pyaar mwenyewe ka kataa ana mme wake toka miaka ya 70 huko
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji120][emoji120]sante
Yaani unavyoongea kama wewe ndo huyo mzinzi wa kiume vileSi ndio mpaka aka amua kusambaza picha ili amkomeshe mama wasiendelee?