Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jengo hili linahitaji lita za maji zipatazo 250,000 kila siku. Pia jengo hili hutumia umeme mwingi ambao ungetosha kuwasha balbu 360,000 za volti miamoja kwa wakati mmoja.
 
Jengo hili lina makumbusho ya picha yenye kazi za wasanii zaidi ya 85. Pia jengo hili lina funguo takriban 4,500 zinazotumiwa na watu wa usalama.
Hitimisho

Ni wazi kuwa binadamu amepewa uwezo mkubwa sana wa kufanya mambo mazuri na ya kushangaza. Naamini kupitia makala hii umejifunza mengi hasa kuhusu jengo la Burj Khalifa ambalo ni jengo refu zaidi duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…