carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Zile Meseji tamu za sa ile...
Hahah!! Nipo sema bado nawachora tu
Nakosa wa kuchat nae sasa [emoji23][emoji23]... tena kama wewe haushikiki maana iceman akiwepo anakuandama huyo hakuachii gape...We umezoea kuchat pekeyako[emoji2][emoji2][emoji2]
Nakosa wa kuchat nae sasa [emoji23][emoji23]... tena kama wewe haushikiki maana iceman akiwepo anakuandama huyo hakuachii gape...
[emoji23][emoji23]
Hahah!! Eti utampata nani?...Wewe watu wakijaa humu unakimbia,unasubiri wote waondoke ndo unakuja utampata nani[emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu sijui iceman kakimbilia wpi tena
Yule naye ni mzururaji wa usiku khaa!!Hahah!! Eti utampata nani?...
Huyo iceman atakua anazurula mitaa mingine huko mana nae huwa ana mambo mengi sana...