huku kwetu kuna mtoto mmoja wa mfalme alishindwa kulipa kodi bandarini na bado akaendelea kuwatishia wenye mamlaka ya kwamba atawasemea kwa mfalme.
waafrika tulipata uhuru wa kuandika katiba wenyewe lakini uhuru wa maarifa na upambanuaji wa mambo ni 15%.
kelele za mwanaharakati asiyeshiba na kutosheka hunyamazishwa kwa tonge ya chakula na si bunduki.
maisha yote mbwa atabaki kuwa mbwa na simba atabaki kuwa simba.