myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salama Mrs Secret [emoji23]Wengi, sema nawaonaga mabua tu,
Umeamkaje mamie???
Cocktail ya kichaga hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni mseto wa hatari[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji4][emoji4]Raha sana[emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aseee, [emoji3] [emoji3] [emoji3] tusiachane mkuu
Soko lipo, walete shambani kwangu, hicho chakula muhimu kwa hawa kuku wanguJamani wana JF nitafutieni soko la mende.
Mimi kwema pia.Hapa kwema, hofu kwako
HATUPOI [emoji119][emoji119]Mkuu hapa HATUPOI
Salama mkuuOoooh hapa kwema mkuu, habari za utokako
twende na 'likes pamojaHATUPOI [emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zaidi ya ulanzi[emoji23][emoji23][emoji23], super nyagi
Njema kakasalama.. za kwako mkuu
Ahsante sanaKaribu mkuu
[emoji106][emoji106]twende na 'likes pamoja
habari njema mwana jogoo...vipi ""? maumivu yameshaanza kutoweka ??Sawa, habari yako