[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aiseeUjinga ni nini? Ujinga ni pale watu milion 1 kwa siku wanachanga 500 kila mmoja wanampa mhindi mmoja ambapo ukijumlosha 500×milion 1= 500,000,000 yan kwa siku watu wanachanga milion zaid ya mia tano wanampa mhindi eti wanabeti na mhindi anaamua kuchukua milion 20 kati ya hizo milion 500 anawapa baadhi yenu na kuwaambia endeleeni kuchanga nyingine kesho tena changen nyingine nitawapa tena baadhi yenu milion 20 mgawane baadhi yenu na kama hujachanga kesho hautakiwepo kwenye mgao mnakubali mnaendelea kumchangia kila siku milion 500,000,000 akitoa milion 20,000,000 anabak na milion 480,000,000 kwa siku ukiichukua hiyo milion 480 nayoipata kila siku × mwezi mmoja yan 480×30=1,440,000,000 uan huyu mtu mwenye campun ya kubetisha kwa mwezi anakusanya bilion 1 na milion 440 kwa mwezi mmoja�� na baada ya kuzipata anapeleka kwenye nch zao anafanyia miladi mikubwa na kuiacha nch yako ikiwa masikin sababu hela mlizokuwa nazo mmempatia yeye na amepeleka kwao [emoji19]nch hii tusitegemee kuwa watu wenye maendeleo katika siku za usoni [HASHTAG]#endeleeni[/HASHTAG] kubeti[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sweetlee[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]All black everything
Aisee! Kama hajawahi chapwa, ndo itakuwa siku yake ya kwanza...INATOKEAGA.IKITOKEA UNAFANYAJE?
Unakwenda kumtembelea kakaako. Kakaako ana litoto LA kiume umri miaka 5,linadeka.
unakaribishwa ndani mnasalimiana,kisha litoto linaambiwa likusalimie linasema SITAKI.
Mara unasikia linakwambia toka kwetu.
Unamwuona kakaako anacheka na kusema"HUYU MKOLOFI KWELI".
Mara kakaako katoka kwenda nje,litoto limesogea na kuvuta simu yako,unalinyang'anya,linaanza kuliaa kwa kelele sana.
Mama take anakuja linasema"HUYO KANIPIGA".
Kakaako anarudi na soda,kakufungulia,unakunywa funda moja,linasogea,likiwa na makamasi linakunywa.
Chakula cha mchana tayari,kila MTU na sahani yake mezani(wali kuku).
Mnaanza kula Mara linasogeza mkono kwenye sahani yako linavuta paja LA kuku.
Kakaako analikataza linaanza kulia na kusambaza chakula chake chini.Wanaanza kucheka na kusema "HUYU MKOLOFI".
Jioni umetulia kwenyesofa na kakaako mkiangalia TV,linakuja,na kuchukua rimote linabadilisha,,
Ulipokaa linakwambia hapa kwangu,unahama.
Linakufuata tena na kuanza kukudandia miguuni.
Usiku umeenda kulala,linang'ang'ani lilale kitandani kwako,ucku linaanza ku lia lipelekwe nje kujisaidia.
Asubuhi kakaako kaenda kazini linaanza kuchezea begi lako.
Unamwambia mamayake anacheka tu.
Linatoka nje kumbe limechukua kiatu chako limetia mchanga linaendesha kama gari.
UNALIFANYAJE?
Ujinga wake ndo umempoteza....Natamani siku nikutane Ramos na Karius huku Manzese niwacharaze mikwaju kwa ujinga waliofanya mpaka tukampoteza mwanchuo huko Iringa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
karibu....Yooooooooooo
duh!!Eti ni shabiki wa Livapuu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 788315
Wamenyolewa manyoya. Mzee wa Masaki Peninsula mpaka leo kimyaaa anasingizia Forexduh!!