myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
hahahaaaa.......................MARCELO IS THE MASTER MIND.
HATARI SANA ILE BEKI.
Mwalim Kashasha bwana cheki alivolizungumzia goli la bale
"kwanza krossi ya Marcelo kitaalamu inaitwa bread catastrophic blueband jam contained ambayo ilisababisha bale misuli yake iwe salivate lubricant standard gauge hali ilyopelekea apige marvelous thunderstorm acrobatic mayonise sensational shoot na kumuacha kipa akiwa katika wrong drainage pattern na hatimaye akaanza kuimba nyimbo ya Jennifer mgendi naliaaaa poleeeee"
Liverpool mtajibeba.
Asanteni kwa kushiriki
Asanteni kwa kuja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HatariousMARCELO IS THE MASTER MIND.
HATARI SANA ILE BEKI.
Mwalim Kashasha bwana cheki alivolizungumzia goli la bale
"kwanza krossi ya Marcelo kitaalamu inaitwa bread catastrophic blueband jam contained ambayo ilisababisha bale misuli yake iwe salivate lubricant standard gauge hali ilyopelekea apige marvelous thunderstorm acrobatic mayonise sensational shoot na kumuacha kipa akiwa katika wrong drainage pattern na hatimaye akaanza kuimba nyimbo ya Jennifer mgendi naliaaaa poleeeee"
Liverpool mtajibeba.
Asanteni kwa kushiriki
Asanteni kwa kuja.
Jogoo walijiamini sana. Madrid wana uzoefu wa gem na hata rafurafu ndogondogo,,ilikua gem ya Real Madrid kwa kweli.Wamenyolewa manyoya. Mzee wa Masaki Peninsula mpaka leo kimyaaa anasingizia Forex
Tumuombee tu kheri, asijekuwa kamuweka stake mkewe[emoji23]Jogoo walijiamini sana. Madrid wana uzoefu wa gem na hata rafurafu ndogondogo,,ilikua gem ya Real Madrid kwa kweli.
Mzee wa liver haonekani hapa