Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je wajua, Ukosefu wa usingizi huwafanya watu kujisikia uwezo wao umepungua katika utendaji wa mambo mbalimbali katika maisha yao ya kila siku? Utafiti mpya uliotolewa na Chuo kikuu cha Leeds umeonesha kuwa ukosefu wa usingizi unaweza kuathiri afya ya kiakili na uwezo wa kumbukumbu. Watafiti wa Chuo hicho walishirikiana na kampuni moja kufanya utafiti mkubwa uliowashirikisha watu zaidi ya elfu moja wa Uingereza wenye umri kutoka miaka 18 hadi 80. Watafiti waliwataka watu hao kujaza fomu kuhusu tabia za kulala, uwezo wa kumbukumbu, hali ya kisaikolojia na hali ya maisha, na kutafiti matokeo ya takwimu hizo. Watafiti wamesema, kutokana na takwimu, ukosefu wa usingizi una uhusiano mkubwa na kushuka kwa afya ya kiakili na kuwa mbaya kwa uwezo wa kumbukumbu, haswa kwa wale wanaolala kwa muda usiozidi saa tano, uhusiano huo utakuwa mkubwa zaidi. Kwa mfano wanaweza kusahau jukumu wanalotakiwa kufanya, kusahau mahali ambako jambo lilitokea au kusahau jambo walilopanga. Hivi sasa mfumo wa afya ya umma wa Uingereza umependekeza watu wazima kulala saa 7 hadi 8 kila usiku. je wewe huwa unalala masaa mangapi?
 
Mpira wa miguu (pia soka au kandanda) ni mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili husika, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja.

Lengo hasa la mchezo huu ni wachezaji kuonyesha uwezo wao wa kuumiliki mpira kwa kutumia miguu na kuuingiza mpira katika wavu wa timu pinzani mara nyingi zaidi.
Matumizi ya mikono ni marufuku isipokuwa kwa mlinda mlango (golikipa) katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya ya kutoka nje ya uwanja.
 
Michezo mbalimbali ya kuchezea mpira inaweza kupatikana katika kila uwanja wa jiografia na historia, Wachina, Wajapani, Wakorea na Waitalia wote walikuwa wakicheza mpira zamani kabla ya enzi zetu.

Wagriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita. Hata hivyo, ni nchini Uingereza pekee ambapo umbo la soka la kisasa lilianza kuibuka.

Kuibuliwa kwake kulilianza wakati mashirikisho mawili (Shirikisho la Mpira wa miguu na Mpira wa Ragbi) yalitawanyika, ambapo Shirikisho la kwanza la soka lilibakia nchini Uingereza.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Una uzee gank wa kusema hapo umekumbuka enzi ya ujana?

Vyuma vimekaza mama, halaf Ritha Serikali ili ifilisi benchmark
Me mzee wewe[emoji23][emoji23][emoji23]siyo andaeitini(kijana)kama wewe.

Nasikia na alitimuliwa sijui aliondoka ipp baada ya mzee machache kuvuta mchuchu mpya mama wawili yule
 
Mnamo Oktoba-1963, Vilabu-11 vya London vilituma wawakilishi katika mkutano wa (Freemason) ili kujadili na kuweka kanuni zilizokubalika kusimamia mechi zilizochezwa kati yao. Mkutano huo ulipelekea kuanzishwa kwa Shirikisho la Kandanda lililoitwa ‘Football Association’

Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa utumiaji wa mikono kushika mpira na kunyanganya kwa nguvu kama ilivyo kwa mchezo wa ragbi. Hapo ndio mwanzo wa Ragbi kugawanyika na mchezo wa soka.

Miaka minane baada ya kuanzishwa, Shirikisho la Kandanda (FA) lilikuwa na wanachama 50. Shindano la kwanza la kandanda lilianza mwaka huo. Kombe la FA- ambalo lilifuatiwa na lile la Ligi ya Ubingwa miaka 17 baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…