You are so sweet!Yap my Queen umenifundisha mwenyewe
Sisi tuko poa pole sanaGoodmorning wakuu.Nimeamka salama japo jana sikulala vizuri...
HahahahaNaona humu ndani ukizubaa tu unabadilishiwa plate number
Kwa uwezo wake Mwenye Enzi Mkuu utakuwa fit leoHahahhaaa priest mizimu ilikuibukia night
Kweli kabisaMagnificent uzi walahi
Dah pole I wish ningekuwa karibu Mimi hao wadudu ni kama sisimizi tuNyoka aliingia store dada na jana usiku ndo nikagundua.It was horrible maana mimi na snakes sio marafiki.Nashukuru nilifanikiwa kumtoa kwa kusaidiana na neighbours so since then sikua na amani ya kulala tena mle ndani.
Usiwe na wasiwasi nimekwambiacarbamazepine naomba ung'oe mizizi ya fitina leo hapa ili nijue mimi nipo wapi
Ipi mkuu sina Vita wala kazi ni upendo tuMi nipo namlinda wangu maana mnashindwa kumjua nawachanganya akili zenu hamjui ni yupi.
Ila mzee wa liver kazi anayo
ho chi minh, habari. kasi yako imechangamsha uzi wetu, safi sana kiongoziMdomoni mwa demu
Yap hawana shidaDuh! Pole sana! But snakes are magnificent creatures