Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilipokua mdogo mwinjuma mimieenh[emoji445]
Nilikua sielewi nini maana ya mapenzi[emoji3][emoji446]
Na wala nilikua sijui nini kitu kupenda dunianieeh.. Niliteseka saanaaa[emoji444][emoji441][emoji445]
Na niliposikia wakubwa wakiongelea[emoji445] kwamba mapenzi yanauaa niliogopa sanaa[emoji16][emoji16]
Kumbe nilikua sijui nini kinaendeleah[emoji445][emoji441][emoji446][emoji23][emoji16][emoji16]

Wacha kabisaa enzi hizooo.. za mgumba kazaa mapacha watatu.. Wawili warembo sura ya mama yao nammoja dume sura ya baba yake[emoji23][emoji23][emoji91]
 
Kikubwa kilichokuwa kinaiumiza Goguryeo ni kwamba walikuwa na nguvu kubwa sana lakini hawana ardhi yenye rutuba hivyo walikuwa na changamoto sana ya Food Security na hichi ndicho kilimfanya Gwangaeto ajitanue kwa nguvu. Angeishi miaka mingi basi angetawala hadi Japan na Urusi.

Ukisoma vizuri Historia mfalme wa Uchina (Tang-Dynasty) baada ya kupigana na Goguryeo aliacha wosia kwenye kaburi lake kwamba "Do not attack Goguryeo" kwasababu walikuwa na nguvu sanaaa kijeshi na kwenye Espionage ndiyo walikuwa wanaongoza kwenye ule ukanda.

Ilifika kipindi kikosi cha Makomandoo wa Ufalme wa SILLA kiitwacho (The Hwarang order or Hwarang Rank) kilikuwa kimevamiwa na majasusi wa Goguryeo mwanzo mwisho...

Kuiangusha Goguryeo ilibidi kuwe na Kolabo zito baina ya Ufalme wa Uchina (Tang-Dynasty) na Ufalme wa SILLA. Tena walijaribu zaidi ya mara tatu hivi ndiyo wakafanikiwa. Ndiyo maana hata baada ya Goguryeo kuangua Ufalme ule wa Kaskazini uliomrithi (Goryeo Empire) ulikiwa na nguvu sanaa kijeshi japo ulikuwa mdogo.

NB: Ukitaka kufahamu nguvu ya Goguryeo lazima ujiulize kwamba ni Ufalme upi wa Mashariki ya mbali umewahi kudumu kwa zaidi ya miaka 700 mfululizo bila kuvamiwa ?? Hata Uchina haukuwa hivyo. Lakinj baharti mbaya kilichowaangusha ni mpasuko wa kisiasa na kikabila uliokuwepo ndani ya nchi......Tang na Silla walithubutu kupigana nao baada ya kugundua nchi iko kwenye vita vya wao kwa wao. Lakini hivi hivi wangetoka kapaaaa maana jamaa walikuwa siyo mchezooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…