[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemjuaje Aisee
Video iliyotazamwa kuliko zote kwenye mtandao ni Despacito
Wimbo wa Despacito ulioimbwa na Luis Fonsi na Daddy Yankee ni wimbo unaoongoza kwa kutazamwa na watu wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Wimbo huu umeshatazamwa mara bilioni 3.55 hadi sasa.
Speed ya LITE madze.Nilikua bussy kidogo,nimewamiss team likes. Huu uzi unakimbia zaidi ya duma mbugani.
Where you goin[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124][emoji124][emoji124]
tatizo ganiActually na waoaji pia tumekuwa tatizo sku hizi
Likes za usiku...tatizo gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku alisema huku ndani mwenyewe
Ni Hatari sana mkuu mpaka inaogopeshahapo ss ndio MUNGU anahitajika sana, ni changamoto kubwa kwakweli.