carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hahaa me simoo hapo[emoji23] [emoji23]Nimeona pia. ...inaonekana muopoaji mzuri wa left-overs
Salama mkuu niajee? Karibu tugonge likes japo jana usiku nyoka alinivuruga mbaya kabisa.Mark msue: habari
mzee wa liver naona msimu huu angalau mmejikongoja kongoja kuingia UEFA champions leaguePromise is promise Leo nashinda kwenye huu uzi
Huyu ni wangu hatujaanza janaISIS nakuona nakuona na mzee wa liver anavyopambana
We umeopoa nani kuleule uzi nimeuweka kujua tu wapenzi wa hapa jf
Ili watakao basi uanze kupiga mistari?[emoji23] [emoji23] [emoji23]ule uzi nimeuweka kujua tu wapenzi wa hapa jf
Abanike bajisukuma unene banilemela. Mulibadimu gete. Nagapinihalaga sana!
Wewe ni -ke au -meMwendo wa kukata kiuno
Kichwa kichafu aelewiNimetoka naye mbali!
Karibu mkuuWadau Leo tena tumekutana kwenye corner yetu pendwa, heshima kwenu wote.
Words can nat describe how happy creature i am today.This day is gonna be written in my special place.
Yangu machoKichwa kichafu aelewi