hahahaNaombeni dawa ya usingizi maana hapa nikilala naona likes nyingi zinapita
Sawa kakabado kidogo kaka nitalala...ila maji saa hii hapana,
Nitaangalia ......ww hukeshi?
kulia tena!!![emoji15][emoji15] kwann ledada?Sana asee yani hadi nasikia kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](sounds crazy [emoji23][emoji23][emoji23])
AminaMungu atupe afya na uzima
unataka poison ya aina gani Beef?TFDA ni jipu la miaka na miaka, tumelishwa poison za kila aina wenyewe wanacheka tu
Karibu sana miller [emoji5] [emoji5] [emoji5]nimeshaanza kuzipata....asante sana jakitoo
Kalale mkuu....Guys nataka nilaleeee
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kulala.