duhVideo iliyotazamwa kuliko zote kwenye mtandao ni Despacito
Wimbo wa Despacito ulioimbwa na Luis Fonsi na Daddy Yankee ni wimbo unaoongoza kwa kutazamwa na watu wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Wimbo huu umeshatazamwa mara bilioni 3.55 hadi sasa.
umeshaamka tayari beef?
Ikifikia mida yetu unatakiwa usicheze mbalii na mitaa hiyo.......Misikiti ya Washia ina raha sana.
Wanafuturu kwa kuku.....
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kitambo Sana nawapa hiii kidogo tu...umeshaamka tayari beef?
Handsome girl.....