Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ila mzee Raymond alikuwa ni master mind kweliMle ndani Bolin ndiye alimtoa jashoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila si alimwekea sumu Raymond ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dembele yuko loyal kweli kwa Raymond
Lile lenye ambalo alina akili vizuriAlifanywa vibaya na lile lijamaa hadi roho iliniuma
Mimi umafia aliotumia kumsambaratisha The Director ndiyo huwa unanikosha sana.Ila mzee Raymond alikuwa ni master mind kweli
Yap lakini baadae alimuomba msamahaIla si alimwekea sumu Raymond ??
Daaah alilichoma visu lakini bado liko tu.Lile lenye ambalo alina akili vizuri
Nilimwonaga BBC mwaka jana mwanzoni.Ndio huyu mkuu alikua Miss Japan 2015,binafsi namzimia sana huyu mrembo.
Fanya hivyo Iko na reality nyingi mi nili mind pale ambapo yule binti ambae ni askari alipouliwa na lile jamaa lenye mwili nyumbaDaaah alilichoma visu lakini bado liko tu.
Nikipata muda ndiangalia yote kwa kutulia maana nimeangalia juu juu sana.
Aisee inabidi niingalie sasa.Yap lakini baadae alimuomba msamaha
Hahaha,Fanya hivyo Iko na reality nyingi mi nili mind pale ambapo yule binti ambae ni askari alipouliwa na lile jamaa lenye mwili nyumba
The last shipThe Black List[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]