[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchawi upo ohoooh! [emoji23]
Agents of shieldThe Legend of Korra
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya kufa nyani miti yote inateleza.
hatari sana......
Kachukue chogo, waachie wapenda flat screen.....Kwema mkuu???Ila ni Flat Screen sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hell on wheels[emoji41] [emoji41] [emoji41]Agents of shield
Huyu mwanamke ni mzuri sanaa.
Huo mzunguko wa pesa mzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Uchawi Wa Kweli Ni Pale Unaposubiri Baba Yako Ambaye Ni Dereva Bodaboda Aende Kazini, Halafu Wewe Unampigia Simu Demu Wako Aje Nyumbani. Bahati Mbaya Inalalia Kwako, Kwani Baba Yako Ndiye Anayemleta Demu Wako. Na Kufanya Bahati Mbaya Iwe Mbaya Zaidi, Demu Baada ya Kufika Nje Ya Nyumba Yenu Anakupigia Simu Ili Uje Kulipia Usafiri.*
*_Kaka Yangu, Amini Nakwambia, Uchawi Upo_*
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahaha,Kachukue chogo, waachie wapenda flat screen.....Kwema mkuu???
Nakupigia hupatikani.
Lipi?Huyu mwanamke ni mzuri sanaa.
Sema ana tatizo moja tu.
Hahaha,Lipi?
Hahah! Pesa aliyokupa baba hiyo hiyo unamlipa alafu baadae anakupa tena hiyo hiyo ukanunue mboga [emoji23]Huo mzunguko wa pesa mzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]