Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Omarion kuwa makini na theory yako hii!!
Hahahahaha.

Niko makini bro.

Unajua mambo yanaenda yanabadilika sana Mapenzi ya siku hizi sio sawa na zamani. Zamani kulikuwa hakuna social networks na watu walikuwa wanapendana kweli bila kutumia Akili zaidi ya emotional tu. Na cheating zilikuwa chache ukilinganisha na sasa hivi. Social networks zimejazana huku na huko kuifanya ile trust ya mapenzi kupungua. Mtu simu moja ina password zaidi ya tano bila shaka huyu mapenzi yake anayaendesha kwa akili nyingi sana na cheating ni za kibabe. Je kuna mapenzi ya kweli hapo?

Sometimes jifanye kama you dont mind and you don't ever see, you don't real care what goes around you. Bila kutumia Akili wala nguvu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumia moyo tumia na akili

Usipo kuwa mjanja watakuua hawa mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…