OK karibu sana mkuu Olduvai gorge na oldonyo lengai....Hahaha
Sawa sawa mzee wa ngorongoro
Safi asee[emoji120][emoji120][emoji120], huku kwema...
Ni jioni sasa.
shukrani. Happy to see youPoa mkuu
It will take time lakin tutampata tuufundi aliyefanikiwa kimpira akiwa mchezaji na mfundishaji.
sijui madrid watampa timu kocha gani mwengine mwenye uwezo wa kuifanya timu iendelee kucheza kwa nidhamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha! Akili usiipe nafasi kubwa kwenye mapenzi bro.
Asante sana.Safi asee
Jana nilikumiss sana
Ulienda wap?
Ahsante asee nataka nije nijifunze evolution of man huko aseeOK karibu sana mkuu Olduvai gorge na oldonyo lengai....
Labda, ila ni vitu ambavyo vinakinzana sana.pia itategemeana na trait ya MTU.
Haya yanaisha hapa hapa bro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro sawa
Usje baadaye ukasema naongea sana
Haina shidaAsante sana.
Majukumu tu mkuu.
Mkuu Camila Cabelo ndo huyu ninayemjua au?Camila Cabelo
UsjaliiiiHaya yanaisha hapa hapa bro
Shukrani mkuu.Haina shida
Hongera kwa majukum
Mungu aendelee kukujaaliya majukum zaidi
Crying in the clubHavana
She loves controlCrying in the club
Hahah!! Sasa waliifungia kwamba inachafua historia yao sio?Walienda Uchina sasa wakapita sehemu hiyo inaitwa Tianamen Square. Mwaka 1989 yaliwahi kufanyika mauji ya kisiasa sasa wenyewe wakasema In 1989 nothing happened here. Ile katuni uchina wakaifungiaga mpaka leo
Hahaha....daah watu mpo vizuri.Havana
Sponsor sina LUKU.Shukrani mkuu.