Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anaweza akafyatua goti hapo...Labda jamaa baunsa. Yu neva no haya mamboHahaha....haya ni mateso kwakweli.
Oya bro nilikupa salam hujibu (japo si lazima kujibu salam)Anaweza akafyatua goti hapo...Labda jamaa baunsa. Yu neva no haya mambo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha....haya ni mateso kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh sijaiona bro. Sinaga mambo ya shoo ofu bro. Ningeiona ningejibu mara moja.Oya bro nilikupa salam hujibu (japo si lazima kujibu salam)
Nauliza tuu kama ulikuwa salama for the time umepotea?
Sawa ndigu yetu tunashukuru kama ni kwemaOoooh sijaiona bro. Sinaga mambo ya shoo ofu bro. Ningeiona ningejibu mara moja.
Niko salama kabisa. Ni majukumu tu yamekaba. Hata sasa nimepata kaupenyo kidogo nikaona nije niwasabahi.
Thanks for caring bro...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimeliona karibisho lako bro. ASANTE sana. Tuko pamojaBro
Karibu sana maana ulipotea kdogo
Ahsante mkuu kazi njemaNimeliona karibisho lako bro. ASANTE sana. Tuko pamoja