Lakini Kukaa kwa Ploti zingine Ni tricky Sana.....Juu Mimi Hukaa Ploti za Mabati alafu Vile Nimeeka Kitanda, Nimetengeneza Shimo,, So me Huwatch TV ya Jirani..Sa Yeye Huweka Movie Ikifika Saa Nne ......So Leo Kumekuja Mgeni akaeka Yenye Tuliwatch jana...Mimi Nikajipata Nimeshout " Ah [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Hio Tuliwatch Jana" .....Ghafla Tu Nilisikia akisema "Nunua yako pumbavu Hii then Nikaona Giza sijui ameweka Nini kashimo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]