D
Mtu na shoga akeMmmhhh..
Huyu mwanaume hapana kwa kweli
Sisi watumiaji wa daladala hii itatusaidiaje? Nauli zitashuka ama?WAKUU GOOD NEWS
Petrol price to reduce drastically from Tshs 2227.00 to 1,500.00 per litre , the first time in the history of Tanzanian economy. This will come into effect on the 01/06/18.
To get more jokes like this one, SMS jokes to 908310
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andaeitini si ajabu hata hajui anachokizungumza. Ila akibahatisha waifu matirio wa ukweli anayejielewa mengi yanawezekana....
Kiafrika afrika unapanga ukoo mzima ila muolewaji lazima akuchumekee kidogo kwamba jamaa yangu hayuko njema mumpangie kwa hikma kidogoKwani mahari anataja mzazi ama muolewaji??
Kweli tena [emoji4]Sema tu, usione aibu..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaaaa hayo ndo maneno na ufanye hivyo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am un able to can you
Aisee!*MWANAUME ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana katika kila kitu*
ZoomNaombeni likes wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ayeeeeee
[emoji91]