Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli hakuna kosa
Ila kama watu ina wakera una acha si vzuri kukwazana
Ukiandika comment yako ukajiquote hata mia wala hamna itakayemkera

Ila sasa empty quote ya mwingine inazingua maana hapa kwa dakika mtu unapata notification mia moja ,mbili tatu etc na uzi unakimbia sana unajikuta unafatilia quotes ili kuendana na mazungumzo husika badala ya kukuta point wakuta empty
 
Bado si kosa
Ila wewe inakukera
Sitaki nikukere so naacha
 
ARSENAL jasho linawatoka juu ya kumsainisha mkataba mpya kiungo wao, Aaron Ramsey, na tatizo kubwa limeelezwa kuwa ni mkataba wa Mesut Ozil.

Ni hivi; Januari mwaka huu, Arsenal ilimpa mkataba mtamu kweli kweli Ozil unaomshuhudia Mjerumani huyo akilipwa Pauni 350,000 kwa wiki na kuweka pengo kubwa la malipo ya mishahara baina yake na wachezaji wengine.
 
Kutokana na hilo, Ramsey ameripotiwa kutaka alipwe mshahara unaomkaribia Ozil wakati Arsenal mpango wao ni kumwongeza kiasi kidogo sana cha mshahara kutoka Pauni 110,000 anazolipwa kwa wiki kwa sasa.

Kocha Unai Emery anataka kiungo huyo abaki kwenye kikosi chake, lakini jambo hilo linawatoa jasho mabosi wa Arsenal kwa sababu Ozil analipwa pesa nyingi jambo ambalo litawafanya wavuruge kabisa bajeti yao kwenye malipo ya mishahara ya wachezaji wa timu hiyo.
 
Where ever You put sincere efforts never goes waste.
Think positive.
Later or sooner the man who wins is the man who think he can
SWEET DREAMS[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
Kama mpango utakwama kabisa basi Arsenal wamesema watafungua milango ya kiungo huyo kuondoka kwa Pauni 40 milioni na hayo ni makubaliano yaliyofikiwa na wakala wa mchezaji huyo, David Baldwin.
 
KOCHA mpya wa Arsenal, Unai Emery, amewaorodhesha mastaa watatu wa La Liga akitaka wawemo kwenye kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao.

Bajeti ya Arsenal si kubwa hasa baada ya kuvunja rekodi mara mbili wakati ilipowanasa mastaa Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang kwa pesa nyingi katika madirisha mawili ya uhamisho ya mwisho kabla ya hili la majira ya kiangazi kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…