Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro mi nilikwambia hata wewe ni muhandsamu usiitoe ila ukaamua kuitoa [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Ishara za mwanamke anaekupenda,lakini siyo kwamba ishara hizi zote anaweza kuwanazo msichana mmoja,ila kila mmoja kwa ishara zake

Hatua hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda,wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti.
 
1.Mnapoongea:
Sikiliza sauti yake,kama anaona aibu sauti yake itakuwa ya upole/laini. Anaweza akaanza kushika shika nywele zake au kuweka sawa mavazi yake. Hawezi akakuangalia machoni atakuwa anakuangalia kwa kuibia. Msichana anayekupenda anakuwa na tabasamu unapoongea naye kama amekuzoea, ila kama hajakuzoea anapokuona gafla tabasamu hutoweka maana anakuwa na aibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sole bruh ila usiirudishe [emoji23]
 
3.Ajali za kijitakia
Anaweza akaona kitu kidogo tu au mdudu halafu anakurukia, au anakukumbatia. Anaweza akatafuta sababu yoyote ilimradi tu akushike,atajitahidi usigundue mbinu zake kwa kupotezea “Ooh i’m sorry i didn’t mean it”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…