Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wangalie marafiki zake.
Anapokuwa na marafiki zake akikuona anaweza akajitenga, hata kama mmeenda out pamoja na marafiki zake utakuta yupo karibu na wewe, akiwa na marafiki zake halafu mkakutana gafla atakufuata halafu waangalie marafiki zake utakuta kama wanateta, ukiona hali hiyo kuna siri yao yeye na marafiki zake kuhusu wewe.

6. Anapenda umjali.
Anapokuwa na tatizo au anajisikia vibaya lazima akuambie,mfano mmeenda mahali kukawa na baridi hata kama si baridi sana atasema anahisi baridi ili mradi umsaidie koti lako,hata kama kuna watu hawezi kuona aibu kuvaa badala yake atajisikia vizuri anapovaa koti lako.

7. Hawezi kuzuia tabasamu.
Unapomwonyeshea tabasamu lazima na yeye akuonyeshee, hata kama kuna kitu kimemwudhi atakuonyeshea tabasamu ili mradi aonyeshe umemkuta katika hali ya furaha.
 
Ishara za mwili.
Anapopita mbele yako anaweza akafanya madoido mengi ambayo yatakuvutia ila kama anajiamini. Kama hajiamini anapokuona gafla anakosa amani, utamwona anashtuka gafla.

9. Anafurahishwa na vituko vyako.
Huwezi ukamboa, hata kama ukifanya kituko ambayo haichekeshi utakuta anafurahia.

10. Anakujali:
Anakuwa anakujali,mfano akiona umeumia labda umejigonga,yupo radhi akuhudumie. Unapokuwa naye anaweza kuuliza…”unahitaji chochote?….unaweza ukasema “nina kiu ngoja ninunue maji” utamsikia “nina maji,kunywa haya yangu kwanza”.basi ujue kwamba anakujali.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
****************
The girls that give you money chini ya meza kulipia bill ya lunch for you to look like a real man ..the kingdom of heaven belongs to you. [emoji18][emoji18]It's written somewhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…