Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Niliona kwenye National Geographic channel. Sikumbuki lilikuwa pori gani mkuu..Pori gani hilo mkuu?
Hakuna. Majuto tu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Vipi kuhusu kuwachapia wengine kuna burudani au ukoje hapo?
Kumepoa. Watu wanakula wikiendi naona. Kwema huko pwani?Habari za weekend
Watu wanaumia kuchapiwa lakini wanachekelea kuchapia wengine [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Hakuna. Majuto tu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Huku Pwani kwema mkuu, vipi pande hizo?Kumepoa. Watu wanakula wikiendi naona. Kwema huko pwani?
Ni nani maandishi wa hizi makala? Ni gazeti gani? AsanteSasa unaweza kupata msaada wa mawazo juu ya matatizo yako ya kimaisha kwa kuwasiliana nami. Uliza chochote kuhusu mambo ya ndoa na mapenzi, mfadhaiko wa moyo, mikwamo ya kimaisha, kuacha ulevi, sigara pamoja na jinsi ya kutatua migogoro ya kifamilia. Bila shaka utajibiwa ndani ya gazeti hili au moja kwa moja.
Powa kabisa. Ile pampu kubwa moyoni bado inafanya kazi ikisukuma galoni maelfu za damu huku na huko mwilini. Tunapumua [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huku Pwani kwema mkuu, vipi pande hizo?
Ndivyo ilivyo. Mkuki kwa nguruwe...Na ukiona mwanaume mwenye wivu sana basi mara nyingi huko nje atakuwa anatembeza mkong'oto balaa....Watu wanaumia kuchapiwa lakini wanachekelea kuchapia wengine [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Hilo ni la kushukuru, maana hali ikiwa hivyo mengine yatafanyika tu inshaallahPowa kabisa. Ile pampu kubwa moyoni bado inafanya kazi ikisukuma galoni maelfu za damu huku na huko mwilini. Tunapumua [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni kweliNdivyo ilivyo. Mkuki kwa nguruwe...Na ukiona mwanaume mwenye wivu sana basi mara nyingi huko nje atakuwa anatembeza mkong'oto balaa....
Mwaka huu hawa jamaa hovyo sana !!!Wamekuja kujificha huku mpaka mashindano ya CECAFA yapite[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 798542
Lilikuwa kosa kubwa la kiufundi. Kosa lenye faida chache za muda mfupi na madhara makubwa ya muda mrefu. Ila wajanja walishavuta pesa ndefu. Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36]Teh teh the teh. Shikamooo pesa[emoji3] [emoji3] View attachment 798541