Log ilikuwa poa kwangu,,probability kwangu ndo ilikuwa utataKama hiyo logarithim nilikuwa naichukia kama nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa noma sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hakuna uhuru kabisa..
Unaapply kama ipi mkuu?Wengine twaviapply maishani lakini.
Hahaha!Hali ilikuwa tete sis. Nimekaa kifungoni zaidi ya miezi minne. Wakati tumetoka mbali hivi jamani. Nilikuwa naumia ila tu sikuwa na jinsi. Leo lazima nifanye kisherehe aisee
Mambo mengi mno, alafu nikajisahau kabisa kwa kweli!Hali ilikuwa tete sis. Nimekaa kifungoni zaidi ya miezi minne. Wakati tumetoka mbali hivi jamani. Nilikuwa naumia ila tu sikuwa na jinsi. Leo lazima nifanye kisherehe aisee
Vyote hivyo[emoji23]Unaapply kama ipi mkuu?