Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siku ile mlipofumwa mkasambaratika ilitoa taswira mbaya sana. Tutaona bro...Hahah! Bro nilegezee masharti kwa ledada tu
Jizazi. Kuna watu wana vipaji aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani ile ilikuwa kali. Hata sasa akiendekeza haya mambo ya sijui mtu huwa anakosa raha asipokuwepo shemeji atatia mguu hapa sasa hivi. Ana machale balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aende akaneng'eneke huko aonyeshe ujuzi apigwe show za kibabe ajitoneshe mguu tena tumchangie aende india.
Ila ndoa jambo la kheri,hongera zake
Safi..Tupo kamanda
[emoji23][emoji23][emoji23]Wooooozerr
Vyote. Ana kitu kinachomfanya wanaume wammiminikie. Watu wanalia kuolewa yeye seveni taimuzi whai?Vipaji ama bahati shem??
Hahah!!Siku ile mlipofumwa mkasambaratika ilitoa taswira mbaya sana. Tutaona bro...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba! I cant you
Yaan kuna watu wanaitafuta ndoa moja kwa tochiVipaji ama bahati shem??