[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitu ya hivyo haipo wee.
Umefata ushauri eenh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mumylo
Ukiona sijatima basi jua nimeshindwa kulipa deni cha kufanya sasa wewe nitumie vocha kubwa kubwa. Halotel au TTCL itapendeza zaidi....[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ukope bando, haya bwana mie ntaendelea kusubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona sijatima basi jua nimeshindwa kulipa deni cha kufanya sasa wewe nitumie vocha kubwa kubwa. Halotel au TTCL itapendeza zaidi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zile zinazokuwa kwenye kikaratasi chake cha plastiki zile. Halafu zinaluwa pana kidogo hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vocha kubwa kubwa ndo kwanzia buku eenh?
Hahahha huyo dogo bhna