myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hapo sawa kabisaMshambuliaji Mohamed Salah amesaini mkataba mpya unaofanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi Liverpool akipokea pauni 200,000 kwa wiki.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Misri kwa sasa yupo mapumzikoni baada ya Kombe la Dunia, lakini amemaliza utata wote kuhusu hatma yake ndani ya Liverpool kwa kusaini mkataba huu.
JakiiiiiiiitoLukaku[emoji173]
Angaliaa mambo Belgium anamaliza kaziLikes za usiku zinaendelea
Ngoja tuone[emoji16][emoji16][emoji16]Angaliaa mambo Belgium anamaliza kazi
Namtafuta simuoni kabisaWapi carb
HahahaNgoja tuone[emoji16][emoji16][emoji16]
Japan ndan,Belgium outMkuu hapo naweka dau na bet Japan nje