Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We mzee za masikuAmen[emoji120] [emoji120]
Salama kabisa ndugu yangu. Mungu anazidi kutupigania. Vipi huko kwema?We mzee za masiku
Huku kwema Mungu ni Mkuu sana tulipoteana kwa MudaSalama kabisa ndugu yangu. Mungu anazidi kutupigania. Vipi huko kwema?
Hali ilikuwa ngumu sana.Huku kwema Mungu ni Mkuu sana tulipoteana kwa Muda
Kabisa ndugu pasina unafiki Hali ilikuwa ngumu mno Zaid ya ugumu wa under18Hali ilikuwa ngumu sana.
Hatujambo mdau,,Leo nawasalimu tena wadau wenzangu wa humu..
Natumaini hamjambo na likizo ya JF mlipamisi humu JF kama mimi.