myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji441][emoji445][emoji445][emoji445]maradhi yoote ugua lakini kuchacha usiombeee
Kwa kasi kubwasiku inakimbia
UpooMorning mtu wa wakoromijee
DuUsitende wema ukitegemea kulipwa wema View attachment 801343
Gr8siku unaionaje?
hahahaaaaa....karibu tena 'mgeni'Naomba muongozo mimi mgeni humu ndani.
Hahaha Aise za masiku teleNaomba muongozo mimi mgeni humu ndani.
Yatujie yenyewe sasa jamani!Haya mapesa haya wacha tuyatafute hakuna namna
Kawimbo kazuri sanamaradhi yoote ugua lakini kuchacha usiombeee[emoji441][emoji445]
IndeedSymbol of life
Mwenye Enzi Mungu tuepushe kwa kweli kweliUsitende wema ukitegemea kulipwa wema View attachment 801343
Hakika yatakuja tu Tumeshafungulia milangoYatujie yenyewe sasa jamani!
True, alafu utakuta mtu anajipa ma stress ya bure na hakuna litakalo fanyika mpaka muda wake uishe!Kuna watu hawaendani na speed ya huyu mtu watabaki kumlaumu anafanya mazuri 89 mabaya 11
Tumpe sapoti that our prezidaa hakuna namna
Ni vema tena ni haki kwa kweli kweliHakika yatakuja tu Tumeshafungulia milango
Kwa kweli...Binadamu hatuelewekiMwenye Enzi Mungu tuepushe kwa kweli kweli
Yaani ni kumkataa shetani naye atatukimbia na kila hila zakeKwa kweli...Binadamu hatueleweki