[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kabisa...Naona leo karibu wanauzi wote mmetokotesha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hili jotoooo sipati picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzeeKama ananunua vitambaa vya kukufutia machozi halijaharibika neno. Endelea naye [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiona hivyo kaa mbali. Wanajuana hao. Pengine kwenye kulizana humo ndiyo mna chimbuko la kiwawekacho pamoja. Haya mambo ni magumu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwisho wa siku machozi yatakauka afutwe damu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sijui kwanini mimi ladha iko kwenye kichwa?
Kuna haja ya kwenda hospitali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aiseeSijui kwanini mimi ladha iko kwenye kichwa?
Kuna haja ya kwenda hospitali
[emoji124] [emoji124] Asavali hata wangetumia neno "mnato"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], zinawafanya vichwa vyenu vikubwa visifanye kazi.....Mnakuwaga kama wafu...Leo mwaziita tube.