Muhimu sana hii sis....
IndeedMuhimu sana hii sis....
Hata wanasayansi wanakiri kuwa multitasking is just an illusion. Ubongo wetu hauwezi kufokasi kwenye mambo mengi kwa wakati mmoja...
Twafiq TurkyTurky
Twafiq Turky
Nendeni pembeni mkalinganishe mnachowaza mpaka mawazo yenu yafanane. Ila tu muangalie hilo lipistoni lisianze kutoa ule mlio hatarishi wa [emoji443][emoji445]fyoko fyoko[emoji445][emoji443] [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ulichofikiri sicho nilichowaza
Bro....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hili jotoooo sipati picha
[emoji23][emoji23][emoji23], hivi mnato maana yake nini?[emoji124] [emoji124] Asavali hata wangetumia neno "mnato"
Kwema kabisa ndugu yangu, sijui wewe?Tayali mkuu,, amepata jibu
Kwema mkuu? Za wiki kadhaa
Sayantifikale...sheaths....[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], zinawafanya vichwa vyenu vikubwa visifanye kazi.....Mnakuwaga kama wafu...Leo mwaziita tube.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui nitakuwa ninefikiria vyema...Nimewaza mbaaliUkiona hivyo kaa mbali. Wanajuana hao. Pengine kwenye kulizana humo ndiyo mna chimbuko la kiwawekacho pamoja. Haya mambo ni magumu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️