Mie najua tu ni malkia,Katika muktadha upi?
Safi...sisi wahenga ziko kichwani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...ya kuthaminiwa na kutambuliwa utu wake.
Hata ukinikurupusha kutoka kwenye kimdabuo halafu ukaniuliza hizi imani za chama bado naweza kukutajia zote bila wasiwasi. Indoctrination ya (uzalendo) ya hali ya juu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]