Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii the promise ya star tv inayooneshwa sasa hivi mbona si kama ile ya wakati ule?
Licha ya majina ya washiriki kufanana lakini naona kama watu wenyewe sio wale nilikuwa nikiwafahamu tokea awali
Nini mbaya hapa??????????
 
Hamna sema uwe sticky

Mnaiba likes za Makapuku, wataanza sasa hivi kulalamika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…